Monday, September 6, 2021

JINSI YA KU DOWNLOAD VIDEO ZA FACEBOOK

 


Mambo vip ndugu wapendwa wasomaji wa Jukwaa hili ni wakati mwingine tena wa kupeana mawili matatu, wenda imeshawahi kukutokea katika pitapita zako katika mitandao ya kijamii ghafla ukatua facebook ukakutana na video ambayo imekuvutia kisha ukashindwa kuipata kutoka na kutokufahamu jinsi ya kuipakua video hiyo, basi leo nimekuletea njia ya kukuwezesha kuishusha video yeyote kutoka facebook bila usumbufu wowote twende sawa hapa chini nimekuwekea maelezo kamili.

HATUA YA KWANZA Pakua App Hii utakayotumia ku download video zako

>>>>>> Fb Video Downloder hapa<<<<<<<<

1.HATUA YA KWANZA (Step 1)

Ukishai download App kutoka Playstore, Utaifungua na itakuletea muonekano kama huu.




2.HATUA YA PILI (Step 2)

Utagusa nembo ya facebook katika hizo icon hapo juu za kuchagua kisha itakuletea muonekano kama huu



3.HATUA YA TATU (step 3)
Ingia katika App ya Facebook kisha tafuta video unayotaka kui download, alafu bofya vidoti vitatu vinakaa upande wa chini wa video yako (...)

Utacopy link ya Video na kisha utarudi HATUA YA PILI na ku PASTE ile linki kisha utagusa Button ya DOWNLOAD. 

Utasubiri video yako iji download kisha utaikuta katika STORAGE ya simu yako.








No comments:

Post a Comment